GET /api/v0.1/hansard/entries/157752/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 157752,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/157752/?format=api",
"text_counter": 101,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Rai",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 203,
"legal_name": "Samuel Gonzi Rai",
"slug": "samuel-rai"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ningependa kumfahamisha Mbunge mwenzangu kwamba Wizara haina pesa za kununua mashamba sasa hivi. Hata hivyo, tumepokea mapendekezo tofauti tofauti kutoka Mkoa wa Pwani. Tuko katika harakati ya kuona kwamba wakati Bajeti inatengenezwa, mapendekezo hayo yatatiliwa maanani ili tujue Bunge hili limeipa Wizara pesa ngapi ambazo zitatumiwa kununua mashamba ambayo tutawagawia maskwota katika Mkoa wa Pwani."
}