GET /api/v0.1/hansard/entries/157753/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 157753,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/157753/?format=api",
    "text_counter": 102,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Joho",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 30,
        "legal_name": "Hassan Ali Joho",
        "slug": "hassan-joho"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, ningependa Waziri Msaidizi anieleze kama ni sawa nikipendekeza kwamba Wizara yake isimamishe ugawaji wa ardhi katika Mkoa wa Pwani hadi watapowachunguza maskwota kwa kina, ili wawe ni wao watakaopata ardhi?"
}