GET /api/v0.1/hansard/entries/1580581/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1580581,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1580581/?format=api",
    "text_counter": 485,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
    "speaker": null,
    "content": "Tunakubushwa kwamba, ulemavu sio udhaifu bali ni kuwa tofaouti tu. Tofauti ya mtu mlemavu ni kuwa mahala anapoishi, hayaafikiani na maumbile yake. Ni jukumu letu kama taifa kuhakikisha kwamba environment yake inaambatana na mahitaji yake na kumsaidia kujikimu maishani."
}