GET /api/v0.1/hansard/entries/1580583/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1580583,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1580583/?format=api",
    "text_counter": 487,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
    "speaker": null,
    "content": "Nikimalizia, nawapa kongole Bwa. Mwenyekiti, Mhe. Wangwe kwa kulete Ripoti hii. Ningeiuliza Kamati hiyo iweze kufanya bidii zaidi kuhakikisha kuwa ripoti ambazo zinafika Bungeni ni za hivi karibuni; zisiwe zimepita miaka mitano na kuendelea. Pia waangazie hilo swala la Kshs2,000, ni chache sana ukilinganisha na hali ya uchumi ilivyo. Pia, tutafute jinsi ya kutumia teknolojia kuwapa walemavu usaidizi kulingana na kiwango cha ulemavu, ili wale ambao wanahitaji hela zaidi waweze kupata."
}