GET /api/v0.1/hansard/entries/1580584/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1580584,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1580584/?format=api",
"text_counter": 488,
"type": "speech",
"speaker_name": "Molo, UDA",
"speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
"speaker": null,
"content": "Pia niwakumbushe wote ambao tunasema hatuna ulemavu, tuko sekunde moja tu kujipata na ulemavu, aidha kupitia kwa ajali ya barabara ambayo kila siku tunatumia,, kuanguka kwa bafu, ugonjwa au pia Mungu akikujalia miaka mingi ulimwenguni ufikishe miaka 100, huenda hautakuwa na uwezo wa kutembea, utahitaji wengine kuja kukuangalia. Tukubaliane kama Bunge kujali maslahi ya walio na ulemavu."
}