GET /api/v0.1/hansard/entries/1581092/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1581092,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1581092/?format=api",
    "text_counter": 486,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
    "speaker": null,
    "content": "Ya mwisho, tukumbuke ya kwamba Katiba yetu, Ibara ya 54, inatukumbusha haki za watu ambao wana ulemavu na ni jukumu letu kuhakikisha kuwa haki zao hazibaki tu kwenye mandishi bali zinaonyweshwa katika maisha halisi."
}