GET /api/v0.1/hansard/entries/1581215/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1581215,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1581215/?format=api",
    "text_counter": 99,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": null,
    "content": " Bw. Spika, Hoja hii ya kumfurusha mamlakani Gavana wa Isiolo ni muhimu sana sio tu kwa Seneti, bali pia kwa wananchi wote wa Kenya. Tangu niwe katika Bunge hili, mara nyingi tumekuwa tukienda njia ya kamati. Hata hivyo, ukizingatia jinsi petitions zinaletwa, ni muhimu Maseneta wote wapewe nafasi ya kukaa na kujadiliana ili kuamua njia ambayo tutafuata. Mimi napinga Hoja hii kwamba tuunde kamati. Napinga vikali sana Hoja hii na sikubaliani nayo kamwe. Asante, Bw. Spika."
}