GET /api/v0.1/hansard/entries/1581283/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1581283,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1581283/?format=api",
    "text_counter": 61,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja kuhusu pesa tulizopata kugawia kaunti 47. Naunga mkono mgao huo. Niko na furaha sana kwa sababu kaunti zote zitasheherekea na watafanya kazi vile inafaa. Kaunti nyingi zilikuwa na pesa duni lakini sasa tumepata mgao wa Shilingi bilioni 415. Mwaka jana The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}