GET /api/v0.1/hansard/entries/1581673/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1581673,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1581673/?format=api",
    "text_counter": 322,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi South, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ken Chonga",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante Mhe. Spika. Mimi nimekuwa mmoja kati ya ambao washawahi kuwekwa ndani kwa sababu ya maandamano. Najiuliza mbona kila wakati kuna maandamano kuna wizi, ubakaji na tunapoteza maisha. Tukiwa Wabunge wenye kutengeneza sheria, tutakaa na kuangalia hii hali mpaka lini? Mbona hatusikii maandamano Rwanda, Tanzania ama kwa majirani? Mara ambayo tumeandamana, hakuna faida tumepata. Imekuwa hasara zaidi ya hasara. Nataka kizazi ambacho kinakuja kitukumbuke kama Bunge ambalo lilisimama kidete na kuja na suluhisho la kusitisha na kutafuta mbinu mbadala za kuweza kuwasilisha…"
}