GET /api/v0.1/hansard/entries/1581898/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1581898,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1581898/?format=api",
    "text_counter": 547,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Msambweni, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Feisal Bader",
    "speaker": null,
    "content": "walijitokeza kwenye public participation . Tuje tupitishe Mswada huu ili Hazina hizi ziweze kuwekwa katika Katiba yetu ya Kenya. Mwisho kabisa, tulikuwa kule Mswambweni Law Courts na Jaji Mkuu alipokwenda kuzindua local area network . Katika speech yake, aliwauliza Waheshimiwa wa Bunge wasaidie idara ya mahakama ili waweze kujenga mahakama ndogo ndogo katika kila eneo bunge la taifa la Kenya. Hii ni kwa sababu mgao idara ya mahakama wanaopata ni mchache na hauwezi kufanya hivyo. Hii inamaanisha kuwa Hazina hii inaweza kuleta mabadiliko na imeweza kufika sehemu nyingi katika taifa letu la Kenya. Mhe. Spika wa Muda, ninaunga mkono Mswada huu. Ningeomba wenzangu wajitokeze kwa wingi Jumanne ili tuweze kuupitisha. Ahsante sana."
}