GET /api/v0.1/hansard/entries/1582278/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1582278,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1582278/?format=api",
    "text_counter": 264,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi South, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ken Chonga",
    "speaker": null,
    "content": " Ngojeni kidogo, tafadhali. Wasiwasi ambao umefanya nisimame ni kwamba nimeona Chumba hiki kilikuwa kimejaa. Wengine huenda wakawa na shughuli ambazo zinawafanya wanatoka. Utafika wakati wa kujadili Mswada huo tuwe hatuna idadi inayohitajika ya watu. Nakuomba Mhe. Spika, kwa taadhima, usitishe mjadala huu ili tujadili na tuupigie kura ule Mswada mwingine."
}