GET /api/v0.1/hansard/entries/158447/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 158447,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/158447/?format=api",
"text_counter": 76,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "âMuundo wa Majukumu ya Kamati ya Uongozi 1. Kutakuwa na Kamati ya Uogozi itakayokuwa na Wajumbe wafuatao:-(i) Spika, ambaye atakuwa mwenyekiti; (ii) Naibu wa Spika; (iii) Kiongozi wa shuguli za Serikali Bungeni ama mwakilishi wakeâ;--- Inaendelea hivyo mpaka Sera ya pili ambayo inasema: - âKatibu wa Bunge atakuwa ndie Katibu wa Kamatiâ Sera ya Tatu inasema:- âMajukumu ya Kamati ya Uongozi yatakuwa ni kufikiria na kumshauri Spika kuhusu mambo yote yanayohusu shughuli za Bunge kwa jumla, ikiwa pamoja na kuwekautaratibu utakaorahisisha maendeleo ya shughuli za Bunge au za kamati yake yoyoteendapo itatokea haja ya kufanya hivyoâ"
}