GET /api/v0.1/hansard/entries/1584790/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1584790,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1584790/?format=api",
    "text_counter": 290,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "kila siku, wakati ambapo nyinyi wenyewe mmezembea kazini. Tumewapa pesa kwa sababu tunaheshimu kauli ya baba yetu, Raila Amolo Odinga, akisema ugatuzi uimarishwe. Tumeheshimu na nimekuwa mmoja wa wale ambao tumewapa hizi pesa na sisi tunataka muonyeshe heshima kwa Mzee Raila Amolo Odinga, kuwa pesa mmepata, na kazi mnayofanya sio wizi ndani ya counties . Kwa hayo, namalizia kwa kusema ugatuzi unaheshimika. Pesa tumewapa na nyinyi pia muheshimu Bunge hili. Msiwe watu wa kuingilia mambo ya National Government AffirmativeAction Fund (NGAAF), na National Government Constituencies Development Fund (NG- CDF). Mnakuwa na tamaa ya hapa na pale. Na maseneta, nyinyi mmekuwa kama wasimamizi kule kaunti. Acheni kupewa vipeni vidogo vidogo, halafu mukija mnataka kulemaza kila kitu katika taifa, mkitetea serikali za kaunti. Tumewapa pesa, kwa hivyo wafanye kazi. Tunataka kuona kazi yao."
}