GET /api/v0.1/hansard/entries/1588714/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1588714,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1588714/?format=api",
"text_counter": 113,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Mwenyekiti wa Muda, naomba kutoa hoja kwamba Kamati ya Bunge Zima iripoti kwa Bunge la Taifa kuhusu kushughulikiwa kwa Mswada wa Hifadhi na Usimamizi wa Wanyamapori (Marekebisho) (Mswada wa Bunge la Taifa Namba 3 wa Mwaka 2023) na kuridhiwa kwake bila marekebisho. Asante, Mhe. Mwenyekiti wa Muda."
}