GET /api/v0.1/hansard/entries/1588745/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1588745,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1588745/?format=api",
"text_counter": 144,
"type": "speech",
"speaker_name": "South Mugirango, UDA",
"speaker_title": "Hon. Silvanus Osoro",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika wa Muda, ningependa kufahamisha Mhe. Rachael kwamba hatusemi “Kiingereza mingi,” tunasema “Kiingereza kingi.” Hatusemi kwamba Kiswahili kimemshinda, bali lugha ya Kiswahili imemlemea. Kwa hivyo, ni muhimu kuzingatia matamshi sahihi katika ngeli unapozungumza kwa lugha ya Kiswahili. Ni lazima uelewe kwamba kuna ngeli na muktadha wa kufuata, ndipo utaweza kuelewa Kiswahili vile inavyofaa."
}