GET /api/v0.1/hansard/entries/1588747/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1588747,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1588747/?format=api",
    "text_counter": 146,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kitui South, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr) Rachael Nyamai",
    "speaker": null,
    "content": " Ningependa kufunga kwa kushukuru Mhe. Silvanus Osoro. Lakini pia ni vizuri ajue kwamba kuna misamiati ya lugha ya Kiswahili ambayo anafaa aielewe vizuri. Kwa hivyo, tunapompongeza Mheshimiwa wa Lamu, tunafaa tupange maneno kama yeye. Vile vile kama namna Mheshimiwa wa Mombasa anavyopanga maneno yake. Anaporomosha Kiswahili vizuri sana. Asante sana, Mhe. Spika wa Muda."
}