GET /api/v0.1/hansard/entries/1588752/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1588752,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1588752/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "South Mugirango, UDA",
"speaker_title": "Hon. Silvanus Osoro",
"speaker": null,
"content": " Kweli kabisa. Nikiendelea kufahamisha Mhe. Rachael Nyamai, nimwambie kwamba hata katika lugha ya Kiswahili, pia kuna kumsahihisha mtu. Kisha baadaye, kama hupendi kusikiliza ama kidogo una maoni tofauti na aliyoyasema, unakanusha. Kwa mfano, unaposema kwamba “mama alinikimbiza” katika lugha sanifu, wengine husema kuwa “mama hakunikimbiza.” Lakini hicho si Kiswahili sanifu. Unapokanusha, unasema kuwa “mama alinikimbiza.” Kwa hivyo, ukijibu, unasema kuwa “aaaa.” Asante sana, Mhe. Spika wa Muda."
}