GET /api/v0.1/hansard/entries/1588773/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1588773,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1588773/?format=api",
    "text_counter": 172,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mwingi West, WDM",
    "speaker_title": "Hon. Charles Nguna",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana Mhe. Spika wa Muda. Nilikuwa nimeharakisha sana kuchangia Mswada huu lakini nimepata kwamba umekamilika. Ningependa kuongeza maoni yangu kwa kuunga mkono kabisa, kisha itiwe sahihi haraka iwezekanavyo. Ilivyo desturi yetu, naomba upee dada yangu Mhe. Rachael Kaki nafasi, kuna kitu alikuwa anataka kuongeza kwa hii Mswada. Ahsante sana."
}