GET /api/v0.1/hansard/entries/1589009/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1589009,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1589009/?format=api",
    "text_counter": 50,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Hon. Kingi): Sen. Mundigi, yale mambo ambayo yamezungumziwa na mawakili kutoka upande wa Bunge la Kaunti ya Isiolo na upande wa Gavana ndio mambo ambayo unashurutishwa uulize ikiwa una tashwishwi yeyote. Usichukue mambo ambayo haikujadiliwa na hayajatokea kwa upande wa Kaunti The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}