GET /api/v0.1/hansard/entries/1589129/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1589129,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1589129/?format=api",
    "text_counter": 170,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": null,
    "content": "Ndugu zetu wa Isiolo, ni jambo la kusikitisha kwamba tunajadili Hoja ambayo mungeelewana nyinyi wenyewe ili isifike hapa. Kisu hukata pande zote mbili. Tutajaribu tutakavyoweza kujadiliana na mwisho tutachukua hatua. Mstahiki Spika, pili, kumekuwa na sintofahamu za mikutano. Baadhi ya mawakili waliosimama mbele yetu wameeleza kuwa kumekuwa na mikutano. Zile stakabadhi zote ambazo mmetupatia hapa tuziangalie. Vile vile kuna rekodi zake. Wengine walisema kwamba kulikuwa na mikutano na wengine wanasema hakukuwa na mikutano. Hili ni jambo gumu na tutaliamua ili watu wa Kaunti ya Isiolo wapate haki yao. Nataka pia kuongezea ya kwamba, tukisimamisha kulingana na hii preliminary"
}