GET /api/v0.1/hansard/entries/1589247/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1589247,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1589247/?format=api",
"text_counter": 288,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Nafikiri suala ambalo tunatakikana kuamua ni; je, tuendelee na kesi hii mpaka mwisho ama tuimalizie hapa ilipofika? Ijapokuwa tuko hapa kama mahakama, sio hivyo ukizingatia hilo kwa undani. Kwa hivyo, hatuwezi kufungwa mikono kwa sababu ya masuala ya mwelekeo. Kama Seneti, tuna jukumu la kuhakikisha kwamba haki inapatikana. Je, haki itapatikana kwa watu wa Isiolo na wengine wakati tutakapomaliza kesi hii katika"
}