GET /api/v0.1/hansard/entries/1589333/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1589333,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1589333/?format=api",
    "text_counter": 374,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nikifunga changizo zangu, ningependa kuwarai na kuwaomba Maseneta wenzangu ambao wako katika Seneti hii kuwa tuko na majukumu ya kuleta sheria ambayo itawapatia uwepesi Wawakilishi Wadi wetu kuweza kuwaleta Magavana wao hapa. Nina imani kubwa ya kwamba asilimia kubwa ya MCAs na Assembly zetu katika Taifa la Kenya wangependa kuwaleta Magavana wao hapa. Lakini, jinsi sheria zilivyotungwa, hazisaidii mabunge yetu kuweza kuleta lalama zao katika Bunge hili la Seneti. Haiwezekani ya kwamba ushahidi wa kutosha uko mbele yetu lakini kwa sababu The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}