GET /api/v0.1/hansard/entries/1590222/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1590222,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1590222/?format=api",
"text_counter": 152,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Hon. Ruweida Mohamed (Lamu East, JP): Lamu pia inatumia jenereta huko Kiunga na Faza. Kwa hivyo, wasiseme ni North Eastern pekee. It is not the only place . Kwa hivyo, alikuwa anadanganya, arekebishe. Hawa wenzetu wa North Eastern huwa ni wao pekee wakati wa mapato na wanatusahau. Wakijitetea wanasahau sisi watu wa Lamu."
}