GET /api/v0.1/hansard/entries/1590500/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1590500,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1590500/?format=api",
"text_counter": 430,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Kwa uwepesi, ninaipongeza huu Mswada. Kwa Wakenya, mambo yamekuwa shwari kabisa. Hakuna utoaji ushuru kwa chakula cha binadamu na cha wanyama. Hii inaonyesha kuwa wakenya watakuwa na chakula cha kutosha na mifuko yao haitateseka tena. Pia, nimeona wameanzisha Nairobi International Financial Centre Authority (NIFC) ambayo itaruhusu wawekezaji kuwekeza nchini Kenya. Wakenya wengi walipoteza kampuni zao hapo awali. Hivi sasa, wataweza kujenga kampuni hapa nchini na vijana watapata ajira. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}