GET /api/v0.1/hansard/entries/1590501/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1590501,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1590501/?format=api",
    "text_counter": 431,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Zamani, wazee wetu walikuwa wakitozwa ushuru kwa malipo ya uzeeni. Hiyo ushuru imetolewa sasa. Ninaomba wakenya wote waunge mkono huu Mswada ili Kenya iende mbele. Nawasihi wote waliokuwa wanakwepa kulipa ushuru, walipe ili Kenya iende mbele. Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda."
}