GET /api/v0.1/hansard/entries/1590714/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1590714,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1590714/?format=api",
    "text_counter": 203,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "pia ni Senior Counsel. Kipengee hiki ni kinyume hata na maadili ya Kiafirka kwa sababu Kiafrika, tunaishi kama jamii moja. Kwa mfano, mimi ni Seneta lakini mtoto wangu ameajiriwa na Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka. Inawezekana kutokee shida katika afisi yake nilaumiwe kama Seneta anayefanya kazi zangu tofauti na yeye? Huu Mswada unapinga maadili ya Kiafrika na vile vile ni kinyume na Katiba. Huwezi kumnyonga mtu au kumyang’anya mali yake bila kumpa nafasi ya kujieleza kisheria."
}