GET /api/v0.1/hansard/entries/1591297/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1591297,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1591297/?format=api",
"text_counter": 54,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa kuwakaribisha Wabunge na wafanyakazi kutoka Kaunti ya Embu. Karibuni sana, mujifunze yale tunayoendeleza hapa Parliament. Wakati huu wa ugavi wa pesa, Maseneta wote tunaunga mkono kaunti zote. Bw. Spika, Kaunti ya Embu ni mojawapo ya kaunti ndogo 11ambazo tunang’ang’ana kuona kama tunaweza kuongezewa pesa. Ningependa kuwaambia MCAs The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}