GET /api/v0.1/hansard/entries/1591298/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1591298,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1591298/?format=api",
"text_counter": 55,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kwamba ikiwa tutapata bilioni nne na zaidi kwenye bajeti, naomba muhakikishe zinatumika kwa njia inayofaa. Ningependa kumueleza Sen. Omogeni na zile kaunti zingine kubwa zinazotuunga mkono kwamba Kaunti ya Embu ina shida ya pending bills na wage bills . Ikiwa tutapata zile pesa, nawahakikishia kwamba tutatimiza mambo ya maji, elimu na barabara. Najua"
}