GET /api/v0.1/hansard/entries/1593189/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1593189,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1593189/?format=api",
"text_counter": 657,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Thank you, Hon. Temporary Speaker. Ningependa kutoa ushuhuda wangu kuhusiana na sheria hii, iliyopitishwa na Bunge la Seneti. Sheria hii ni nzuri sana. Itaweza kudhibiti watoto ambao wametoka katika jamii maskini ambao hawajaweza kupata fursa ya kuenda shule kwa sababu ya maisha ya uchochole. Serikali yetu huwa haitilii maanani watoto kama hao – mtoto ambaye hana ile hali tunaita ulemavu au uwezo maalum. Watoto hao kusema kweli hakuna kitu wanashindwa. Wanaweza. Ni vile tu, wako na ile uwezo maalum iliyo tofauti na mtu mwingine. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}