GET /api/v0.1/hansard/entries/1593191/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1593191,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1593191/?format=api",
"text_counter": 659,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Sheria hii pia inaashiria kuwa serikali za kaunti pamoja na ya kitaifa, zishirikiane kuhakikisha jambo hili litafanyika kwa njia nzuri. Ninaunga mkono sheria hii ambayo imetoka kwenye Bunge la Seneti. Asante sana."
}