GET /api/v0.1/hansard/entries/1604102/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1604102,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604102/?format=api",
"text_counter": 57,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": null,
"content": " Asante, Bw. Spika. Jambo la kwanza, ningependa kusema pole kwa jamii waliompoteza yule kijana Albert Ojwang’. Tunamwambia babake pole kwa sababu huyo ndiye aliyekuwa mtoto wake wa pekee. Babake alikuwa na matumaini kuwa mtoto wake atafaulu maishani. Hiyo ndio sababu alikuwa anafanya kazi ya kuchimba na kuchonga mawe ili kumsomesha mwanawe."
}