GET /api/v0.1/hansard/entries/1604103/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1604103,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604103/?format=api",
    "text_counter": 58,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": null,
    "content": "Nampa kongole mzee huyo kwa sababu alisomesha kijana wake ambaye hakupoteza ndoto ya babake kwa kusoma hadi alipofuzu katika chuo kikuu. Babake amesema kuwa anataka kupelekwa mbele ya mtu anayeitwa Bw. Eliud Lagat apigwe risasi ili naye pia afariki. Huo ndio uchungu ambao babake anahisi wakati huu. Tunakemea sana kifo hicho."
}