GET /api/v0.1/hansard/entries/1604104/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1604104,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604104/?format=api",
"text_counter": 59,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": null,
"content": "Jambo la pili ni kuwa huyo alikuwa kijana wa miaka 31. Bibi yake ni msichana mwenye umri wa Sen. Methu. Kijana huyo alioa kutoka jamii ya Wagiriama kule kwetu. Bibi yake ni mtu tuliye na uhusiano naye. Kwa hivyo, yule aliyemuua aliua shemeji yangu. Kwa hivyo, dadangu ni mjane aliye na mtoto wa mwaka mmoja. Shame on thatofficer! Aibu kubwa sana ambayo imetokea katika nchi yetu ya Kenya."
}