GET /api/v0.1/hansard/entries/1604109/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1604109,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604109/?format=api",
"text_counter": 64,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": null,
"content": "Sisi hatutakubali kifo hicho kifichwe. Kwa sababu yeye ni DIG anafikiri anaweza kudanganya Wakenya wote. Alisema eti marehemu alijigonga kwenye ukuta kisha akaanguka chini na kufa. Kwani alikuwa anacheza mpira huko ndani? Ukuta si mpira; ukuta ni ukuta na hauwezi kuua. Hakuna mtu alijigonga ndani ya police cell isipokuwa kama alijinyonga."
}