GET /api/v0.1/hansard/entries/1604170/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1604170,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604170/?format=api",
    "text_counter": 125,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "mpya. Kwa hivyo, ni vyema Serikali ivumilie kelele za wananchi na Gen Z. Kuna watu wanasema kuna Broad Based Government na wanataka kumlaumu Rais, Mhe. Ruto. Kama wewe uko kwa hiyo Serikali, kwa nini unamlaumu Ruto? Wewe umeingia kwa Serikali, uko ndani, kwa nini unasema Ruto, Ruto, Ruto? Si ufanye kitu hata wewe kwa sababu umeingia kwa Serikali? Umepatiwa Uwaziri, pesa na kila kitu mnachotaka – usikae huko ndani halafu unajifanya kama uko nje. Ukiona mambo mabaya unalaumu Serikali. Ukiona mambo mazuri, unasema, tuko kwa hiyo Serikali. Wacha ku- double deal, kaa ndani ama kaa nje. Ukikaa ndani, wacha kuilaumu Serikali – wewe fanya kazi hiyo. Unasema Rais, Rais, Rais – Rais anafanya makosa gani---"
}