GET /api/v0.1/hansard/entries/1604184/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1604184,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604184/?format=api",
    "text_counter": 139,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kaunti ya Kwale kwa kifo cha kijana mdogo sana, mwenye umri wa miaka 31. Hili ni jambo la kusikitisha sana. Kijana huyu alisomea Chuo Kikuu cha Pwani na akahitimu. Babake alikuwa anafanya kazi kwa timbo za mawe ili kusomesha mtoto wake na hatimaye alihitimu na kupata kazi ya ualimu. Kutokea kwa kisanga hiki kumehuzunisha nchi yote ya Kenya. Ningeomba uchunguzi ufanywe ili familia yake ipate haki na wale waliohusika na kifo cha Albert wachukuliwe hatua za kisheria. Asante."
}