GET /api/v0.1/hansard/entries/1604197/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1604197,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604197/?format=api",
"text_counter": 152,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Okenyuri",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Kwanza ningependa kutoa pole zangu kwa familia ya marehemu Albert Ojwang’. Ni kisa ambacho kimenisikitisha mno. Sisi kama vijana tumeondoka nyumbani kwenye umaskini kuja mijini ili kujitafutia. Nimehuzunishwa na kisa hiki ambapo Albert alichukuliwa na maafisa wale. Ripoti za upasuaji wa maiti zimeonyesha kuwa Albert hakujiuwa, aliuawa na maafisa wale. Singependa kujiunga na wenzangu ambao wananung’unika. Maafisa wale ambao walimbeba Albert kutoka kwao washtakiwe kwa makosa ya mauaji ili waseme ni nani aliyewatuma kuangamiza yule kijana. Ni jambo ambalo linasikitisha kwa sababu kama The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}