GET /api/v0.1/hansard/entries/1604319/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1604319,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604319/?format=api",
    "text_counter": 274,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ambayo tutafanya katika Hoja hii. Uzuri ni kwamba tulipokaa chini, aliweza kusikiliza wale tuliokuwa na maoni tofauti kidogo. Nikiwa na wazo la kujinyonga, ni vyema uje usikie ninayosema kuliko kuhudhuria matanga yangu. Ametusikia sisi ambao tunatoka katika kaunti ndogondogo."
}