GET /api/v0.1/hansard/entries/1604323/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1604323,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604323/?format=api",
    "text_counter": 278,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Tunafaa kujua ya kwamba nguvu ya kutengeneza mvua ikipewa muuza mwavuli, hakutakesha mvua. Hii ni kwa sababu atataka nafasi mzuri ya kuuza mwavuli wakati wote. Bi. Spika wa Muda, Bunge la Kitaifa limekuwa na nguvu ya kutengeneza mvua na ndiyo maana kila siku kunanyesha machozi ya fedha kutofika katika gatuzi zetu. Kwa hivyo, hata tukiongea hapa, mpaka na sisi tujifunge kimbwembwe. Shida hizi tumekuwa nazo kwa muda. Miaka kama mitano imeisha na bado tulikuwa tunang’ang’ana na Bunge la Kitaifa."
}