GET /api/v0.1/hansard/entries/1604324/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1604324,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604324/?format=api",
"text_counter": 279,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Iwapo uko katika msitu, na uone mti mmoja mara mbili ujue kwamba umepotea. Hata sisi tunapokaa katika Seneti hii na kubweka, inafaa ufike wakati ambao tunafaa kuuma. Kumbuka hata mbwa abwekaye bila kuuma, hakuna siku atapewa heshima. Tukitaka kupewa heshima ni lazima tupambane na tuhakikishe kwamba tuko na nguvu zetu katika Seneti. Hivyo tu ndivyo tutaweza kusaidia ugatuzi."
}