GET /api/v0.1/hansard/entries/1604327/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1604327,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604327/?format=api",
    "text_counter": 282,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bi. Spika wa Muda, kuna jambo la maji katika kaunti zetu. Vyanzo vingi sana vya maji na visima vinatoka katika eneo la Kirinyaga. Utakuja kushangaa ya kwamba hadi leo, wakazi wengi kutoka eneo la Mwea wanakunywa maji machafu."
}