GET /api/v0.1/hansard/entries/1604329/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1604329,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604329/?format=api",
"text_counter": 284,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Hakuna sababu yoyote katika Karne hii kwamba baada ya pesa kwenda katika gatuzi zetu, gavana hawezi kuwa na mpango maalum. Juzi tu ndipo tuliona taasisi ya kupambana na ufisadi ikishika watu waliofuja pesa zilizotengewa mfumo wa maji wa Mwea-Makiba. Fedha zinaibiwa kutoka kaunti na kwenda katika mifuko ya watu."
}