GET /api/v0.1/hansard/entries/1604330/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1604330,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604330/?format=api",
"text_counter": 285,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Wengine wanaiba mpaka dawa za hospitali. Kuna siku nilisema na si maombi mabaya kwamba ukipewa nafasi ya kununua dawa na kupea wagonjwa, uibe zile pesa uende ukazitumie na familia yako. Mungu aliye juu, Jalali asiyelala, siku moja atakufanya utumie zile dawa kwa sababu ulizitafuta mwenyewe. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}