GET /api/v0.1/hansard/entries/1604332/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1604332,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604332/?format=api",
    "text_counter": 287,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ninawaonya wale ambao wamekuwa wezi katika kaunti zetu. Kila siku tukiwaita wengine wanakuja. Wengine wanaongea vibaya ni kama fisi wakirudi. Tumeona Gavana wa Isiolo juzi akitusi hata Maseneta katika chumba maalum ambapo wanafaa kuwa wakifanyia kazi zao."
}