GET /api/v0.1/hansard/entries/1604333/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1604333,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604333/?format=api",
"text_counter": 288,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Wanawaona Maseneta ni wasumbufu, hawafai. Kama Seneti, tumekomaa. Mbwa hawezi mfupa uliomshida fisi. Sisi tukikaa ngumu huo mfupa wanafikiria hatuuwezi, tutauweza tukifuata sheria vizuri tufuatilie pesa za watu wetu."
}