GET /api/v0.1/hansard/entries/1604334/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1604334,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604334/?format=api",
    "text_counter": 289,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Akina mama ni muhimu sana katika nchi ya Kenya na wako katika kaunti zote. Afya yao na mahali wanapoenda kujifungua ni muhimu sana. Kunafa kuwe na malazi safi. Hata Bibilia tukufu inasema kwamba ndoa ziheshimiwe na malazi iwe safi."
}