GET /api/v0.1/hansard/entries/1609005/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1609005,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1609005/?format=api",
"text_counter": 45,
"type": "speech",
"speaker_name": "Tigania East, NOPEU",
"speaker_title": "Hon. Mpuru Aburi",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika, mimi kwa roho yangu na akili yangu, niko hapa kusema pole kwa Mheshimiwa dada yangu kwa sababu mimi nilikosea kwa kurekodi hiyo video. Ni mimi niliirekodi, kisha baadaye, nikiwa na ndugu na marafiki wetu pale nje, mmoja akaomba “nimsambazie”, kisha nikafanya hivyo. Sikujua eti itakuja kufika nje. Kwa sababu hiyo, ilikuwa ni kuharibu jina. Kivyangu nasema pole na naomba nisamehewe. Maandiko yanasema ya kwamba hakuna dhambi yoyote duniani ambayo haiwezi ikasamehewa hata kama ni nyekundu kama damu. Kwa hivyo, mimi kivyangu naomba msamaha. Ahsante, Mhe. Speaker."
}