GET /api/v0.1/hansard/entries/1613753/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1613753,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1613753/?format=api",
"text_counter": 172,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Naibu Spika, naungana nawe kuwakaribisha wafanyibiashara waliobobea kutoka Kaunti ya Meru. Karibuni sana. Hivi ndivyo Naibu Spika wetu, Sen. Kathuri Murungi, anavyofanya kazi. Ni mtu anayefanya kazi yake kwa ustadi na kuendesha Bunge hili kwa njia ambayo inafaa."
}