GET /api/v0.1/hansard/entries/1613793/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1613793,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1613793/?format=api",
    "text_counter": 212,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bi. Spika wa Muda, ni kinaya kwa Kiongozi wa Walio Wengi kusema kwamba Bunge la Kitaifa halisikizi chochote na ni watu ambao sio wazuri wasikilize Seneti hii. Halafu hatimaye anatuambia kuwa hao wao, ndio waliomfukuza mtu mbaya. Hiyo ni kinaya."
}