GET /api/v0.1/hansard/entries/1613845/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1613845,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1613845/?format=api",
"text_counter": 264,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Khalwale",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi. Spika wa Muda, Seneta wa Embu angenielewa. Sikua nafanyia Seneta wa Nyandarua madharau. Nilikua namkumbusha kwa sababu, he is anew Member. Ajenda kubwa ya kaunti inasukumwa na nafasi unayopewa katika Bunge ya Kenya. Hiyo nafasi ni kubwa kuliko ile unapata nyumbani na ndio maana, nikatumia jina la Wamunyoro. Badala ya Wamunyoro ningesema Malinya, kule kwetu. Ninaomba anielewe na sio kumtania."
}